Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
February 12, 2025Nifanye nini ili niurithi Ufalme Mbingu?Karibu uungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Tafakari Nasi leo studio tupo naye Padre Peter Owino kutoka Uaskofuni Jimbo Katoliki Tanga,mada juu Nifanye nini ili niurithi Ufalme Mbinguni. L'articolo Nifanye nini ili niurithi Ufalme Mbingu? proviene da Radio Maria....more24minPlay
February 11, 2025Fahamu maana ya matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu.Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea kutufundisha juu ya Matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu.L'articolo Fahamu maana ya matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu. proviene da Radio Maria....more55minPlay
February 11, 2025Je, ni kwa namna gani Watoto wanapaswa kuwaheshimu Wazazi wao?Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Ayuto Kongo kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu Swali hili Katika amri 10 za Mungu amri ya 4 inasema Waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani,je? Hawa wazazi tulioamriwa Kuwaheshimu tuwaheshimu vipi?L'articolo Je, ni kwa namna gani Watoto wanapaswa kuwaheshimu Wazazi wao? proviene da Radio Maria....more28minPlay
February 11, 2025Je, kuna uhusiano wa jubilei kuu 2025 na kufahamu wito wako?Karibu uungane nami Mtangazajia wako Martin Joseph Katika kipindi cha Fahamu Wito Wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Jimbo Kuu Katoliki Arusha, anazungumzia juu ya Jubilei Kuu 2025 na Wito Wako.L'articolo Je, kuna uhusiano wa jubilei kuu 2025 na kufahamu wito wako? proviene da Radio Maria....more58minPlay
February 11, 2025Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na mbili]Karibu ungane nami Mtangazaji .wako Martin Joseph, katika kipindi cha Amka na Mama ambapo ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali zikituongoza kuanza siku yetu mpya, tumuimbie Bwana katika Roho na kweli.L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na mbili] proviene da Radio Maria....more54minPlay
February 10, 2025Fahamu historia ya Mtakatifu Josephine Bakhita.Ungana nami Patrick Tibanga katika kipindi cha Tafakari Nasi, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, akielezea juu ya Wajibu wa Wazazi kuwapeleka wa Watoto wao kwa Mungu.L'articolo Fahamu historia ya Mtakatifu Josephine Bakhita. proviene da Radio Maria....more30minPlay
February 10, 2025Ni, kwanini Yesu alikufa Msalabani?Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Melkisedeki Sagina Sanga, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki Songea nikijibu Swali la Msikizaji linalosema ni kweli kuwa Yesu Kristo aliteswa na kufa msalabani ili sisi tupate kuokolewa? Kwanini afe msalabani kuliko kufa kama sisi binadamu bila kubeba msalaba?L'articolo Ni, kwanini Yesu alikufa Msalabani? proviene da Radio Maria....more23minPlay
February 10, 2025Je, wafahamu matayarisho ya Ndoa Takatifu?Karibu ungana nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akituongoza kujifunza Matayarisho ya Ndoa Takatifu.L'articolo Je, wafahamu matayarisho ya Ndoa Takatifu? proviene da Radio Maria....more49minPlay
February 10, 2025Ni, maana ya Malipizi?Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Ayuto Kongo, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea nikijibu, swali la Msikilizaji linalosema kama ikitokea Mtu ameungama halufu akasahau yale aliyoangizwa kufanya afanye huwa ni nini hutokea.L'articolo Ni, maana ya Malipizi? proviene da Radio Maria....more49minPlay
February 10, 2025Ifahamu Sheria Namba 1055-1058.Karibu ungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za Kanisa Kutoka Studio za Radio Maria Tanzia leo tupo Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa Katoliki Kutoka Jimbo Katoliki Njombe, ambapo leo anatuongoza kujifunza Sheria ya Ndoa Takatifu L'articolo Ifahamu Sheria Namba 1055-1058. proviene da Radio Maria....more49minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.