Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Cassian Lebba, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, nikijibu swali Msikilizaji linalosema tunasema Mungu ni Mwema na pia Mungu anaweza kila kitu una, lakini uhalisia unaonesha dunia imejaa machafuko na majanga ya kila siku.