Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Daudi Fungameza, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea Nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Katika Rozari Takatifu Matendo ya Furaha, tendo la nne, Yesu anatolewa Hekaluni, Je, alitolewa Hekaluni alikuwa na Kosa gani?