Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali hili, sisi Wakatoliki tunasali siku ya Jumapili, Wasabato wanasali siku ya Jumamosi na Waislamu wanasali siku ya Ijumaa, Je, siku ya kusali ni ipi?