Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Jackob Mkandawile Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu La Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Maana halisi na Tofauti kati ya matendo haya katika kumtolea Mungu Sadaka, Fungu la Kumi, Matendo ya Huruma, Majitoleo, Shukrani ya Mavuno?