Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, ukiwa nami Frateri Cassian Lebba, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea nikijibu swali la Msikilizaji Linalosema Kwanini tunakiita kifo cha Yesu kuwa ni sadaka Takatifu wakati Maandiko Matakatifu yanasema amelaaniwa Mtu aliyeangikwa mtini