Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani leo tupo na Frateri Emilian Samson Mahinya, kutoka Parokia ya Mtakatifu Petro Mtume Ndanda Jimbo Kuu la Mbeya akijibu swali la Msikilizaji linalosema, Je, Kanisa linapendekeza njia gani sahihi za upatanishi kwani kumekuwa na magomvi, uhasama, Magovi katika ulimwengu na ndani ya Familia.