ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, leo anazungumzia maneno haya, Mungu wangu mbona umeniacha.
L'articolo Je, unafahamu maana ya maneno haya, Mungu wangu mbona umeniacha? proviene da Radio Maria.