Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Familia bora na Nyumba aminifu, leo nipo na Bwana Paschal Maziku, Bi. Monica Kessy, Bi. Federika Bayaga, Katekista Gabriel Mwasenkwa, Bi. Sophia Nyanda na Bwana George Mapunda, Wakufunzi kutoka Famila bora katika Nyumba aminifu, wakielezea Changamoto za ndoa zinazosababishwa na watu wengine nje ya wanandoa.L'articolo Ni, changamoto gani zinazosababishwa na watu wengine nje ya wanandoa? proviene da Radio Maria.