Apostolic Power of God Church International Ministries APGCI UNITED CHURCHES GLOBALY MINISTRIES BIBLE COLLEGE America & Africa.(Siri ya Kuinuliwa Na ku sitawa ) Yoshua 1
7 : Uwe hodari tu ,
na ushujaa mwingi,
uangalie kutenda sawasawa na sheria yote aliyokuamuru
Musa mtumishi wangu;
usiiache, kwenda mkono wa kuume, au wa kushoto,
upate kufanikiwa sana kila uendako.
8 : Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako,
bali yatafakari maneno yake mchana na usiku,
upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo;
maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana