Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana... more
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.
August 08, 2022Wanawake wenye ulemavu wanaowania viti vya siasa kama wagombea huru wakumbwa na changamoto za usafri wa kufanyia kampeniLicha ya wanawake wenye ulemavu kujitosa kwenye siasa,bado wanakumbwa na changamoto ya usafiri kufuatia maumbile yao,hasa kwa walemavu wenye matatizo ya viungo vya miguu na wale wasioona.Wanasiasa hawa ambao wanawania kama wawaniaji huru jijini Mombasa,hawana gari za kufanyia kampeni mashinani,hatua inayowafanya kulemaza kampeni zao.Mwanahabari wetu Athuman Luchi ametusimulia....more7minPlay
August 07, 2022Ubaguzi wa Wanawake wenye ulemavu wanaowania viti vya kisiasa MombasaWanasiasa wanawake wenye ulemavu ubaguliwa ,hukejeliwa na kutengwa katika harakati za kisiasa kufuatia maumbile yao,ubaguzi huo unawaathiri wanasiasa hao wenye ulemavu,hatua inayowafanya kushindwa kuendeleza azima yao ya kuwania viti vya kisiasa.Mwandishi:Athuman Luchi...more10minPlay
August 04, 2022Kura isiyosiriMakala haya yanazungumzia kuhusu changamoto ambazo jamii ya watu walio na changamoto ya kuona wanapitia wakati wa upigaji kura uchaguzini.Mwandishi:Ruth Keah...more15minPlay
July 15, 2022Ugonjwa wa upungufu wa akili watibiwa MombasaTakwimu zilizowasilishwa kwa kamati ya Seneti ya Afya mwezi Machi na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe zinaonyesha ugonjwa wa mfadhaiko ndio aina ya ugonjwa wa akili unaoenea zaidi nchini.Amina Abdalla ni Mwanzilishi wa kituo cha Women Empowerment for Mental illiness Treatment and Rehabilitation Centre, anasema aliamua kuanzisha makao hayo baada ya kuona hakuna makao ya kuishi ya watu wenye akili punguani wanaorandaranda ovyo mitaani na barabarani.Mwandishi: Nuru Mwalimu....more14minPlay
July 04, 2022Chanjo ya Saratani –Tumaini kwa vizazi Vya baadayeMwaka wa 2019 raisi Uhuru Kenyatta alizindua rasmi zoezi la wasichana walio na umri wa miaka 10 kupewa chanjo ya saratani yaani HPV, lakini zoezi hilo lilipata pingamizi kutoka kwa wadau mbalimbali nchini.Katika Makala haya,mhariri wetu Ruth Keah ameangazia kuhusu habari za urongo ambazo zilifanya wazazi kupuuza chanjo hiyo na wataalamu ambao wamekosoa habari hizo za urongo....more11minPlay
June 27, 2022Uregeshaji Wa Matumbawe Kwale Part 2Mabadiliko ya tabia nchi yaani climate change, uvuvi haramu,ongezeko la chupa za plastiki baharini na kuharibiwa kwa matumbawe kumetajwa kuwa moja wapo ya mambo yanayoathiri viumbe wa majini na shughuli za uvuvi.Lakini ongezeko la joto na kiwango cha maji ya bahari ni miongoni mwa mambo yanayotishia ustawi wa bahari ambayo ni tegemeo kwa Maisha ya binadamu.Mhariri wetu Ruth Keah alizuru eneo la Shimoni na kuangazia jinsi jamii ya eneo hilo inavyotunza na kupanda miamba ya matumbawe baharini....more9minPlay
June 27, 2022Uregeshaji Wa Matumbawe Baharini Part 1Mabadiliko ya tabia nchi yaani climate change, uvuvi haramu,ongezeko la chupa za plastiki baharini na kuharibiwa kwa matumbawe kumetajwa kuwa moja wapo ya mambo yanayoathiri viumbe wa majini na shughuli za uvuvi.Lakini ongezeko la joto na kiwango cha maji ya bahari ni miongoni mwa mambo yanayotishia ustawi wa bahari ambayo ni tegemeo kwa Maisha ya binadamu.Mhariri wetu Ruth Keah alizuru eneo la Shimoni na kuangazia jinsi jamii ya eneo hilo inavyotunza na kupanda miamba ya matumbawe baharini....more11minPlay
June 22, 2022Changamoto Za Usafiri Zinazowakumba Wanasiasa Wanawake Wenye UlemavuLicha ya wanawake wenye ulemavu kujitosa kwenye siasa,bado wanakumbwa na changamoto ya usafiri kufuatia maumbile yao,hasa kwa walemavu wenye matatizo ya viungo vya miguu na wale wasioona.Wanasiasa hawa ambao wanawania kama wawaniaji huru jijini Mombasa,hawana gari za kufanyia kampeni mashinani,hatua inayowafanya kulemaza kampeni zao.By Rose Tawa...more9minPlay
June 18, 2022Changamoto Za Usafiri Zinazowakumba Wanasiasa Wanawake Wenye UlemavuLicha ya wanawake wenye ulemavu kujitosa kwenye siasa,bado wanakumbwa na changamoto ya usafiri kufuatia maumbile yao,hasa kwa walemavu wenye matatizo ya viungo vya miguu na wale wasioona.Wanasiasa hawa ambao wanawania kama wawaniaji huru jijini Mombasa,hawana gari za kufanyia kampeni mashinani,hatua inayowafanya kulemaza kampeni zao.Changamoto hizo za usafiri zinawafanya baadhi ya wawaniaji hao kurudi nyuma kisiasa huku wengine kujiondoa katika kinyang’anyiro.Mwandishi:Rose Tawa...more8minPlay
June 17, 2022Ubaguzi Wa Kisiasa Kwa Wanawake Wenye Ulemavu Wanao Wania Viti Vya Kisiasa.Licha ya Kifungu 81[1c] cha katiba kusisitiza uwakilishi wa usawa na haki kwa watu wenye ulemavu bado wanawake wenye ulemavu waliojitosa kwenye siasa,wanakumbwa na ubaguzi wa kisiasa kutoka kwa wapinzani wao na hata wafuasi wa wapinzani hao.Pia kifungu cha katiba cha 27[5] kinaeleza kuwa Mtu hatabaguliwa moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja dhidi ya mtu mwingine kwa sababu zozote zilizotajwa au kuzingatiwa katika Ibara ya 4.Wanasiasa hao wenye ulemavu hukejeliwa na kutengwa katika harakati za kisiasa kufuatia maumbile yao,ubaguzi huo unawaathiri wanasiasa hao wenye ulemavu,hatua inayowafanya wenzao kushindwa kuendeleza azima yao ya kuwania viti vya kisiasa.Mwandishi:Nuru Mwalimu...more9minPlay
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.