Je Mbingu Ipo, ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu kinakuletea ushahidi kwamba ni kweli Mbingu ipo, na kwamba kuna maisha baada ya kifo. kwa kufuatilia kipindi hiki, utajifunza habari mbalimbali zinazodhihirisha kuwa Mungu yupo na Mbingu ipo. Karibu sana upate kujifunza habari za ushahidi huu.