Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about ROAD TO SUCCESS:How many episodes does ROAD TO SUCCESS have?The podcast currently has 48 episodes available.
July 12, 2020Weekly audio II HOW TO SELL YOURSELFUnahitaji mambo matatu katika kuuza- COMPETENCE, LIKABILITY & LUCK (Arch Lustberg)...more6minPlay
July 01, 2020ANDIKA KITABU CHAKO- Hatua 7 za kuandika kitabu chako II Rodricknabe @RoadtosuccesstzKama una shauku ya kuandika kitabu lakini hujui unzie wapi, basi hii podcast ni kwa ajili yako. Utajifunza hatua 7 za kuandika kitabu chako....more21minPlay
June 24, 2020NJIA 12 ZA KUPATA MTAJI II Rodricknabe @RoadtosuccesstzSikiliza audio ya Njia 12 za kupata Mtaji. Jifunze zaidi....more13minPlay
June 18, 2020SPEAKERS CONFERENCE2020Kongamano kubwa la wazungumzaji (Public speakers) na Wajasiriamali (Entreprenuers)...more11minPlay
June 10, 2020SPEAKERS CONFERENCE-SUMMARYSpeakers conference inafanyika tarehe 5 na 6 September 2020. Wasiliana na 0674502925 kupata ticket yako...more11minPlay
June 10, 2020HABITS-TABIA. JIFUNZA KUTENGENEZA TABIA ZA KIMAFANIKIOKatika podcast hii utajifunza sayansi ya tabia. Jinsi ya kutengeneza tabia za kimafanikio na jinsi ya kuvunja tabia mbaya....more36minPlay
June 07, 2020BIASHARA 9 ZINAZOFANYA VIZURI WAKATI WA PANDEMIC kama COVID-19Jifunze kufanya hizi biashara katika kipindi cha covid-19 au pandemic yoyote....more17minPlay
May 29, 2020HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya 6Hii ni hatua ya kujiuzuru. Lazima utoke kwenye ajira yako na uanze kufanya mambo yako. Hiki ni kitendo cha imani. Lazima uwe na imani kwamba maiaha yatakuwa mazuri bila mshahara. Wewe sio wa kwanza kuacha ajira. Mwanzoni mambo yatakuwa magumu lakini ukiwa mkomavu, milango mipya itafunguka....more7minPlay
May 29, 2020HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya 5Katika hatua hii, anza kutumia muda wako wa ziada kujenga taaluma yako mpya au biashara yako mpya. Utahitajika kuwekeza zaidi ya masaa 10 kwa siku....more6minPlay
FAQs about ROAD TO SUCCESS:How many episodes does ROAD TO SUCCESS have?The podcast currently has 48 episodes available.