Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about ROAD TO SUCCESS:How many episodes does ROAD TO SUCCESS have?The podcast currently has 48 episodes available.
May 29, 2020HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya 4Anza kutengeneza uzoefu mpya na pia tengeneza mtandao wa marafiki nje ya ajira yako. Soma vitabu, sikiliza jumbe za hamasa na angalia video zenye hamasa na maarifa sahihi....more6minPlay
May 29, 2020HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya tatu(3)Hatua ya tatu ni kuanza mchakato wa kuweka akiba. Utakapoacha ajira, akiba yako ndiyo hazina yako. Ongeza kiwango cha kuweka akiba....more7minPlay
May 29, 2020HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya pili (2)Katika hatua ya pili, lazima uandike tarehe ya kuacha kazi. Lengo bila mipaka ya muda linakosa msukumo. Pia tafuta DIARY ambapo utakuwa unaonyesha mikakati yako ya kila siku....more7minPlay
May 29, 2020HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya kwanza (1)Inawezekana ndoto zako umezikalia muda mrefu kwa sababu upo kwenye ajira. Hii ni hatua ya kwanza ya kuacha kazi ili uweze kujiajiri. Usisahau kufuatilia hatua zinazofuata....more11minPlay
May 29, 2020MAMBO MATATU (3) YA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI UWE MTU WA THAMANI II Rodricknabe @RoadtosuccesstzHaya mambo matatu yatakufanya uwe mtu wa thamani katika jamii. Waliofanikiwa wanayafanya haya, kwanini usifuate alama hizi za mafanikio....more7minPlay
May 28, 2020HOW TO GET A JOB OF YOUR CHOICE II Rodrick NabeAny graduates dream of getting a job of their choice. These 8 tips will help. If you are a parent, share these tips with your children. If you are a student of graduate, take action....more11minPlay
May 27, 2020TABIA 10 ZA KIMAFANIKIOJifunze tabia 10 ambazo zitabeba mafanikio yako. Kumbuka kwamba una uwezo wa kujifunza tabia mpya. Ni maamuzi tu....more8minPlay
FAQs about ROAD TO SUCCESS:How many episodes does ROAD TO SUCCESS have?The podcast currently has 48 episodes available.