Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Hi My name is Isack Isack and this is my podcast, Over here we talk about Drama, Relationship, Various Trends, Music, Technology, Politics And Sports... more
FAQs about SautiPodcast:How many episodes does SautiPodcast have?The podcast currently has 40 episodes available.
January 25, 2022S02E20>> NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MAUAJI DUNIANIHii ni orodha ya nchi kumi (10) zinazoongoza kwa idadi kubwa ya mauaji ya watu duniani kwa mujibu wa tovuti ya The World Population Review....more3minPlay
January 13, 2022S02E19 >> TOP 10 YA NCHI ZISIZO NA FURAHA DUNIANIKaribu kusikiliza episode 19 ya SautiPodcast inayohusu orodha ya nchi kumi (10) zisizo na furaha duniani kwa mujibu wa ripoti ya WORLDHAPPINESSREPORT ya 2021-2022 imetoa orodha hiyo na hapa tunakuletea nchi 10 hizo, je Tanzania ๐น๐ฟ tupo nafasi ya ngapi?...more3minPlay
October 26, 2021S02EP18>> KWANINI MACHINGA WAKUFUKUZWE?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewataka machinga wote waliosehemu sio rasmi kondoka mara moja!Je hatua hiyo unaionaje ikiwa wewe kama mwananchi?.........more22minPlay
October 21, 2021S02EP17>> Diamond Platnumz amchana Dir.Kenny Kutoendekeza mapenzi na kazi/Video ya Faragha ya Tiwa Savage Yavuja Diamond Platnumz kamchana aliyekua mtayarishaji wake wa video Kenny kutoendekeza mapenzi/ Video ya Utupu ya Tiwa Savage yasambaa mitandaoni...more17minPlay
October 11, 2021S02EP16>> UKIAMBIWA UMEKUWA UNAELEWA NI NINI?Ukisikia mtu anakuambia umekuwa! Wewe unaelewaje?...more26minPlay
October 06, 2021S02EP14 Habari360>>SOKWE ALIYEPIGA SELFIE AMEFARIKI3.Sokwe aliyejizolea umaarufu kwa kupiga selfie afariki dunia 2. Youtube yafuta akaunti za Rkelly katika mtandao huo 1.Tanzania kuanza kutoa takwimu za uviko19 kila wiki katika mtandao...more5minPlay
September 21, 2021S02EP15 >> WHATSAPP KUJA NA KIPENGELE CHA BIASHARAMtandao wa WhatsApp unakuja na mango wa kuweka mawasiliano (contacts) za maeneo ya karibu na wewe mtumiaji. Kama vile Migahawa, Maduka ya nguo na huduma nyingine muhimu........more5minPlay
August 14, 2021S02E13>> TOP 30 YA WASANII WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBEHii ni Top30 ya wasanii ambao wanaongoza kwa kitazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube pamoja na Video zao zenye watazamaji wengi! Karibu kusikiliza.........--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message...more14minPlay
August 05, 2021S02EP12 >> NI SAHIHI KUJIWEKA KARIBU NA JINSIA NYINGINE AS BESTIES IKIWA UPO KWENYE MAHUSIANO?Unadhani ni sahihi kujiweka karibu na jinsia nyingine as besties ikiwa wewe upo kwenye mahusiano? S/O kwa Timz,Lusekelo na Liku kwa kujoin nami katika episode hii na kutoa maoni yao...... karibu kusikiliza...more35minPlay
FAQs about SautiPodcast:How many episodes does SautiPodcast have?The podcast currently has 40 episodes available.