Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Hi My name is Isack Isack and this is my podcast, Over here we talk about Drama, Relationship, Various Trends, Music, Technology, Politics And Sports... more
FAQs about SautiPodcast:How many episodes does SautiPodcast have?The podcast currently has 40 episodes available.
July 29, 2021S02E11 >> JINSI YA KUENJOY UJANANimeshare nawe vitu kadhaa vya kufanya ili uweze kuenjoy maisha kama kijana! share nawe maoni yako nitayasoma katika episode ijayo ............more12minPlay
July 16, 2021S02E10>> KITU GANI KINAKUKERA PALE UNAPOKAA NA MTU SITI MOJA KWENYE BASI ZA MIKOANILeo tumezungumzia kero tusizozipenda pale tunapokaa siti moja na mtu katika basi ya mikoani! Nimezungumza na Lusekelo, Timothy pamoja na Liku wao wameshare experience zao....... nawe unaweza niambia kwa kunitumia message au tembelea kurasa zangu za kijamii FB: Isack Isack @Instagram: officialisackisack...more39minPlay
June 24, 2021S02E09 >> TBT BONGO FLEVA TOP 4 (RoundUp)Kila alhamisi tutakuwa na top 4 ya ngoma kali za kitambo toka Tanzania! Nitakuwa na wageni wao watachagua kila moja nyimbo nne!...more25minPlay
June 17, 2021S02E08 >> VIFAHAMU VYUO VIKUU KUMI (10) BORA DUNIANIFahamu orodha ya vyuo vikuu bora zaidi duniani kwa sasa, Nafasi ya kwanza imekamatwa na MIT kwa mwaka wa 10 mfululizo.Vyuo hivi vimetoka katika mataifa ya switzerland,uingereza na marekani...Kwa msaada wa mtandao nimekuletea orodha hiyo,Karibu kusikiliza.........more4minPlay
June 09, 2021S02E02 (INFOTECH) MFUMO MPYA ENDESHI WA HUAWEI (Harmony OS) UMEANZA KUFANYA KAZIMfumo mpya wa Kampuni ya Huawei wa HARMONY OS umeanza kufanya kazi katika vifaa vya HUAWEI ikiwa ni muda mchache baada ya marekani kuifungia kampuni hiyo kutumia mfumo wa Android kutoka Google!...more5minPlay
May 24, 2021S02E07 DALILI 9 ZA DEPRESSION (SONONA)Let's talk about depression(sonona) ushawahi kuwa na sonona au ushawahi kuwa na mtu mwenyewe sonona? Leo tunaangalia dalili 9 za depression (sonona) unazoweza au anazoweza kuwa nazo mtu depression (sonona)....more10minPlay
May 17, 2021S02E06 NJIA NNE ZA KUKABILIANA NA STRESS (MSONGO WA MAWAZO) NA DEPRESSION (SONONA)Hizi ni njia nne ambazo unaweza kuzitumia kukabiliana na stress (msongo wa mawazo) na Depression (Sonona) nimepitia maandiko/machapisho ya wanasaikolojia kadhaa na kuongea na baadhi ya watu waliopitia changamoto za stress, wamenieleza njia kadhaa walizozitumia kuikabili stress nami nimeshare nanyi kupitia podcast yangu. Karibu kusikiliza...more7minPlay
May 10, 2021S02E05 JE?KUNA MAPENZI YA KWELI MITANDAONI?Tumepiga story kuhusu mapenzi ya mitandaoni pale unapokutana na mtu na ukataka kuanzisha nae mahusiano kwahiyo tunaulizana Je kuna mapenzi ya kweli mitandaoni mf.instagram,facebook nk....more21minPlay
April 13, 2021Shout-out from my Brother โ๐Thanks to my brother @sethwaeast he give me S/O about my podcast ๐ค! U can also send me your shout out or any suggestions about my podcast for sending me a voice message! Good news I'm looking forward to work with him anytime soon ๐ค๐ค stay alert!...more1minPlay
April 01, 2021S02E04 >> HAWA NDIO WANAWAKE WANAOSHIKA NA WALIOWAHI SHIKA NYADHIFA YA URAIS BARANI AFRIKAHii ndio orodha ya wanawake waliowahi kushika na wanaoshika nyadhifa ya urais katika nchi mbalimbali hapa barani Afrika kwa muda wa miongo miwili! Karibu kusikiliza...more7minPlay
FAQs about SautiPodcast:How many episodes does SautiPodcast have?The podcast currently has 40 episodes available.