Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
May 22, 2021SIASA PODCAST; Uchambuzi Kuhusu Mahakama Kuharamisha BBIJe, majaji wa Mahakama Kuu waliongozwa na sheria katika kutoa uamuzi wa kusimamisha mchakato wa kurekebisha katiba ama uanaharakati wa kisheria wanavyodai baadhi ya watu? Je, majaji walikuwa na hasira dhidi ya Rais Kenyatta na walimkosea heshima? Victor Mulama anasimulia......more13minPlay