Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC mwaka huu kama mambo yangeenda sawa uchaguzi mkuu ungefanyika mwishoni mwa mwaka huu lakini hofu iliyopo miongoni mwa wanasiasa nchini humo ni kutofanyika kwa uchaguzi. Kujua kama uchaguzi huo utafanyika ama la unganna na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa.