Mjadala wa Wiki

Umoja wa mataifa na migogoro ya dunia


Listen Later

Makala hii imeangazia mkutano wa umoja wa mataifa ambapo viongozi wa dunia wanakutana kujadili juu ya namna ya kufikia utatuzi wa migogoro duniani, wakati huu Korea Kasakzini na Marekani zikivutana kuhusu silaha za nyuklia na majaribio ya makombora ya Pyongyang, mgogoro wa kidiplomasia kati ya mataifa ya uarabuni na Qatar, vita ya Syria, wakati kwenye barani Afrika, kule Burundi na maswala ya haki za binadamu yakiendelea, nchini DRC na swala la Uchaguzi,na mambo mengine.
Katika makala hii utawasikia wachambuzi wetu Hamduni Marcel akiwa Mwanza, na Abdulkarim Atiki kutoka Daresalaam.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mjadala wa WikiBy RFI Kiswahili


More shows like Mjadala wa Wiki

View all
Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners