Katika mada yetu ya leo, Dr Kimathy anaelezea kwa undani kuhusu mazoezi tiba, maana yake, umuhimu wake na athari za mtoto/mtu mwenye hali ya usonji anapokosa mazoezi tiba. Karibu!
Katika sehemu hii ya nne tunaangalia mahusiano ya karibu kati ya imani katika jamii na dhana potofu katika kulea na kutoa ushirikiano kwa watoto na watu wazima wenye hali ya usonji. Karibu.