Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Usonji Tanzania:How many episodes does Usonji Tanzania have?The podcast currently has 7 episodes available.
October 15, 2020Episode 6: Mazoezi TibaKatika mada yetu ya leo, Dr Kimathy anaelezea kwa undani kuhusu mazoezi tiba, maana yake, umuhimu wake na athari za mtoto/mtu mwenye hali ya usonji anapokosa mazoezi tiba. Karibu!...more40minPlay
July 23, 2020Episode 5: Usonji na Hisia MwiliKatika mada ya leo tunaangalia uhusiano wa karibu kati ya Usonji na hisia mwili, vichocheo na changamoto zake....more52minPlay
July 14, 2020Episode 4: Usonji, Dhana Potofu na ImaniKatika sehemu hii ya nne tunaangalia mahusiano ya karibu kati ya imani katika jamii na dhana potofu katika kulea na kutoa ushirikiano kwa watoto na watu wazima wenye hali ya usonji. Karibu....more57minPlay
July 06, 2020Episode 3 - Usonji, Maana Yake.Katika sehemu ya tatu, Dr Kimathy anatupa maana ya usonji kwa undani na viashiria vyake. Karibu....more50minPlay
FAQs about Usonji Tanzania:How many episodes does Usonji Tanzania have?The podcast currently has 7 episodes available.