Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
“Story na Washkaji” is a podcast series scheduled to release every two weeks across various social media and podcast platforms.We believe in the wealth of stories our friends have to share, ranging ... more
FAQs about Washkaji Podcast:How many episodes does Washkaji Podcast have?The podcast currently has 9 episodes available.
May 12, 2024EP 03: Afya ya Akili na Mahusiano with Dr. Maymuna MohammedAfya ya Akili imezungumziwa kwa kina, Faida na Umuhimu wa Wanaume kufunguka na kuzungumzia yanayowasibu kwa uwazi, namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa afya ya akili bila kusahau Afya ya akili kama funguo kuu kwenye mahusiano....unahitaji nini ili kuwa na Afya bora ya akili kwa Mahusiano yako kusonga.Kupitia Podcast hii Daktari Kijana na Machachari Maymuna Mohammed ameeleza kwa kina#AfyaYaAkili #Akili #Afya #MentalHealth #Relationships #Health #Wanaume...more50minPlay
April 28, 2024Ep02: Stori na ADRIAN NZAMBA, Mjasiriamali wa Teknolojia na mmiliki wa TAYARI AppMjasiriamali wa Teknolojia, TAYARI App....more45minPlay
April 13, 2024Ep01: STORI NA WASHKAJI: Kazi ya ndoto yako.#WashkajiTunaongea! Kuhusu Siri za Mafanikio Kazini, Ujuzi wa ziada mbali na taaluma, Maandalizi ya Kustaafu na mengine kadhaa kwa ajili ya Kazi ya ndoto yako!.#WashkajiDrivingPodcast #washkajiPodcast #Mvumbagumo #SwahiliPodcast ...more41minPlay
March 06, 2024UBALOZINI LEO: KUKATA MKONO WA SWETA: TOHARA YA HIYARI KWA MWANAUME (PROMO)Tohara ya hiyari kwa Mwanaume: Ni umri gani sahihi wa kufanya Mwanaume kufanyiwa Tohara/ kukata Mkono wa Sweta?...more1minPlay
February 22, 2024UBALOZINI LEO: UVUMI KUHUSU VIZA YA KUINGIA NCHINI MAREKANIUna ndoto au Unahitaji kuingia nchini Marekani?Kuna Uvumi mwingi unasambaa kuhusu namna au njia sahihi ya kupata Viza ya Kuingia Nchini Marekani,Kupitia Podcast hii, tumekuletea afisa wa Ubalozi anayeshughulika na masuala ya Visa akitoa ufafanuzi kamili. ...more15minPlay
February 22, 2024SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOURSIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOURUshiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Vifahamu Vikwazo, Changamoto na Mafanikio ya zoezi zima la uandaaji wa filamu hii hadi kuzinduliwa kwake....more5minPlay
February 21, 2024SIMULIZI: Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr.Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr.Mwanzo wa Maisha ya Harakati, Mafanikio na Mwisho wa uhai wa Dr. Martin Luther King Jr....more3minPlay
February 21, 2024UBALOZINI LEO: 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na MarekaniUBALOZINI LEO: Miaka 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani...more2minPlay
FAQs about Washkaji Podcast:How many episodes does Washkaji Podcast have?The podcast currently has 9 episodes available.