Leo kwenye Makala ya Jukwaa la Michezo tuliyokuandalia ni pamoja na
-Mashindano ya kuwania taji la mchezo wa kikapu barani Afrika yanayoendelea nchini Rwanda.
-Michuano ya soka kuwania taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa upande wa wanawake.
-Droo ya michuano ya soka, klabu bingwa barani Afrika.
-Christiano Ronaldo kurejea Manchester United
-Mashindano ya Olimpiki kwa walemavu yanayoendelea jijini Tokyo nchini Japan