Ariana Grande akishirikiana na Nicki Minaj katika single yake ya "the light is coming", wimbo wa Camila Cabello unavyoendelea kutikisa mitandaoni na mengine mengi kutoka ulimwengu wa burudani.
Harvey Weinstein, Pusha T, Whitney Housten, Drake , Will Smith, Tamasha la Dakar Art Biennale, Michelle na Barack Obama, Tamasha la Filamu za Kiafrika mjini New York, Nicki Minaj, Bandi ya BTS, na Filamu ya Solo: A Star Wars Story, na Dua Lipa
Janet Jackson, Taylor Swift, Melat, Harusi ya wafalme, Met Gala, Childish Gambino, Kanye West, Sanaa za kutoka Congo, na wakenya katika jimbo la Georgia mjini Atlanta
Harusi ya wafalme katika Kensington Palace, Avicii, Howard University na Chadwick Boseman, Black Panther, Beyonce katika Coachella, Beyonce na Jennifer Hudson, Ariana Grande, onyesho ya mitindo kwa watu walemavu DRC, Cardi B katika Broccoli Fest, Filamu za Wes Anderson, Will Smith.
Coachella, Beyonce, Filamu za Saudi Arabia, Black Panther, Avengers, Mwandishi wa vitabu kijana, Kanye West, Khloe Kardashion, Prince Harry, Cardi B, Kendrick Lamar na Drake