Wiki hii kwenye Zulia Jekundu, Rihanna amuunga mkono Colin Kaepernick kwa kukataa kuimba kwenye mapunziko ya fainali za American Football maarufu kwa jina la Super Bowl, Keapernick anapinga unyanyasaji wa watu weusi. Na kionjo cha filamu ya Halloween ambayo imeongoza katika mauzo ya box office
Wanamitindo wa maumbile yote kufanya kuonyesha mitindo na matangazo ya biashara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Tuzo za BET zafana, na ziara ya Kanye West na mkewe nchini Uganda.
Johannesburg Fashion Week ya malizika nchini Africa Kusini kwa wanamitindo wakiafrica na waliyotokea Asia kuonyesha kazi zao. Harakti za #Metoo zafikisha mwaka mmoja ambako imeasa wanawake kuongezeka katika uwandaji wa filamu Hollywood.
Wanamuziki wa kizazi kipya kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wameamua kujiingiza katika siasa. Mwanamitindo wa kofia za kiasili kutoka Nigeria alezea umuhimu wa vazi hilo katika historia ya mwanamke wa Afrika.God's Plan kibao kutoka kwa Mwanamuziki Drake kitatufungia kipindi.
Tuzo za Emmys,New York Fashion Week, Taylor Swift, Chrissy Teigan, Micheal B. Jordan, Shawn Penn, Lady Gaga, Mpigapicha Alunbe na filamu ya Mary Poppins
Wiki hii katika Zulia Jekundu, Michael Jackson aendelea kufanya vizuri baada ya mwanamuziki huyo kufariki. Cardi B, na selana waja na kolabo ya wimbo wa Taki-taki unaofanya vizuri kwenye. Filamu ya Crazy Rich Asians bado yaendela kutamba kwenye majumba ya sinema.