Rss Feed
https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml
Leo na waletea ujumbe wa siku ya ijumaa hususan kwa watoto.
Humo nimegusia masuala ya karama na umuhimu uliopo wa kuishi maisha ya wema.
Katika ujumbe wa leo nimezingatia baadhi ya mambo ya msingi ya kufundisha watoto ikiwemo kukaa kikao tafakuri na umuhimu wa kujifunza lugha ya kiswahili.
Pia nimewaelekeza watoto umuhimu wa kuepukana na tabia chafu ambazo zingewapelekea wawe watu wabaya ndani ya jamii.
Nimewasisitizia watoto wajifunze umuhimu wa kuishi maisha ya kistaarabu.
Na wazidishe tabia ya kupenda kujisafisha. Watambue ya kwamba utukufu ni pambo tu lakini watakatifu ndio wastahili pekee.
Lakini pia ndani ya ujumbe huu wa leo lipo tangazo la mimi kujitoa katika kuwa mnufaika wa ndoa za watoto au wasichana wenye umri wa chini ya miaka kumi na nane.
Na hapo hapo nimetraboshoti kwa nguvu kubwa harakati ambayo siku mbili hizi wamekuwa waki idunisha na kuitafsiri kama kurudi nyuma na uharibifu kwa wanawake waliohusika na Vijana pia.
Lakini pia inatia faraja kwamba jambo hilo limefeli wakati Zumbe A Ten'dii nimewadhihirishia ya kwamba ni jema.
Mambo Zumbe A Ten'dii na yaweza Kuyaongoza mimi mwenyewe Zumbe A Ten'dii
Na kwamba sina mbadala
Na changamoto haiko hapo tu, habari ni kwamba serikali yao na watu wao wana laana yangu.
Ni jambo la fedheha mimi kutumika kama kitabu cha historia au kitabu cha kumbukumbu wakati niko hai naishi mitaani.
Kufeli kwao ni jambo ambalo linatia faraja sana.
Halafu idadi ya waswahili inapoongezeka ulimwenguni. Ni kazi ya matunda ya mikono ya watanzania au tanzania? Na sio utukufu wangu na utakatifu wangu ambao unatawala kote kote?
Kiswahili cha tanzania kinafundishwa sehemu nyingi sana kama walivyoripoti na hilo halikuwa jambo la kawaida.
Wanatamba ya kwamba wameongeza maneno mengi sana katika kiswahili, lakini najua mnajua walivyo na dhamiri mbovu, swala linapokuwa linagusa maslahi yetu na kutupa ahueni au mafanikio. Ninyi mbakie pale pale kwamba maneno mapya yana haja ya kupitiwa na mimi Zumbe A Ten'dii au mwenzetu ambaye ni wa ndani kikwelikweli.
Podcast nitaiweka katika vipande mbalimbali hapo baadaye nakujazia vipande vingine ziwe ni Podcast ambazo zinajitegemea.
Kwa Sadaka na Shukrani kwa masomo haya ya Mawazo na Falsafa yaliyo yaliyo pamoja na baraka na karama zangu tuma Kupitia Lipa Namba ya M Pesa - 5558047 kutokea Mtandao wowote. Ili niweze kukunjulia roho na changamoto yako iondoke na furaha yako idumu kwa baraka na karama za Zumbe A Ten'dii. Itapendeza ikiwa sio chini ya 3000 kwa kila wiki. Jina ni Ahmad Juma Shelimo.