Rss Feed
https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml
Mbele ya Wapumbavu kila kitu kiletacho tabaka hukiita Mamlaka, Hiyo ndio picha halisi ya Wendawazimu. Ni kupoteza muda kubishana na Wendawazimu, Japo kwenye Siasa kila kura moja ina thamani sawa.
Wapo wengi wanatamani niwe naweka hukumu na nadharia moja halafu basi, Wasichojua ni kuwa naishi uswahilini, nakula chakula cha migahawa ya Uswahilini. Nakula vitafunwa tu na Chips, huku naogopa Wali, Ugali na Chipsi Mayai. Watu wanapandikizwa uasi na upinzani. Watu wanalipwa kunipotosha, pia kunizoogoma na kuzua ukakasi kama niko karibu na Mwana dada au fursa ya kazi / pesa.
Baadhi ya kesi ni masuala ya moja kwa moja ndani ya maisha yangu, Nami najua sehemu gani ya mfumo imelegalega - Hiyo shule ya mawazo na uchafu nawapa extream wafunguke. Ni fursa nyingi kwa raia wema kunyakuwa Uhuru zaidi.
Japo na hayo ni mambo yanaelea tu maana watu wema na wanufaika wa utesi na udhalilishaji wa Wachafu ilipaswa tuwe wote, tule wote, tuwe na uhusiano wa moja kwa moja
Ninunulie Soda (Kama Ada au Shukrani kwa masomo haya ya Mawazo na Falsafa) Kupitia Lipa Namba ya M Pesa - 5558047 kutokea Mtandao wowote. Jina ni Ahmad Juma Shelimo.