Sign up to save your podcasts
Or
Ajali za barabara huchangia vifo vingi vya watu walio katika umri kati ya miaka mitano hadi 29 kwa mujibu wa WHO
Uchunguzi unaofanywa baada ya ajali huonesha madereva wengi hulaumi kufeli kwa breki ilhali wengi wana msongo wa mawazo ,imesema mamlaka ya usalama barabarani nchini Kenya ,National Transport and Safety Authority.
Ongezeko la magari,mchipuko wa miundo mbinu bora na ongezeko la watu yanazidi kufanya uwezekano wa mtu kuhusika kwenye ajali kuwa mkubwa.

22 Listeners
85 Listeners
3 Listeners
0 Listeners
1 Listeners
14 Listeners
2 Listeners
0 Listeners