Amani Longishu Podcast

Amani Longishu Podcast

By Amani LongishuBusinessMarketing
Download on the App Store

Amani Longishu Podcast episodes

  • #49: Sehemu 5 Ya Kupata Idea Ya MAUDHUI Ya Instagram
    Ndani ya Episode hii Coach Amani Longishu, ameelezea sehemu 5 unazoweza kupata idea ya maudhui ya Kupost Instagram
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 49
    11 min
  • #48: Jifunze Skills Kisha Tengeneza Connection | Ft Eric Baisi
    Kwenye episode hii Eric Baisi kutoka Maje Digital ametoa mwanga kuhusu biashara instagram, ushauri wa wanafunzi wa chuo na je inachukua muda gani kuingiza pesa kupitia Instagram?
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 48
    13 min
  • #47: Makosa Yanayo Chelewesha Ukuaji Wako Instagram
    Ndani ya episode hii utajifunza makosa 5 yanayo chelewesha ukuaji wako Instagram!
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 47
    12 min
  • #46: Jinsi Ya Kupata Kazi Kama Social Media Manager kupitia Social Media | Ft Digital Kendrick
    Je unajua njia za kupata kazi kama Social Media Manager kupitia Social Media Platforms? Ndani ya episode hii Digital Kendrick na mimi tumezungumzia kwa kina njia hizo, changamoto, skills na ushauri kwa social media managers
    Sikiliza Episode Kujifunza Zaidi
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 46
    56 min
  • #45: Nini Kinaufanya Ushuhuda wa Mteja Wako Kuwa Mzuri na Wenye Mashiko?
    Umeshawahi kupokea ushuhuda wa mteja wa bidhaa au huduma yako hadi machozi ya furaha yakatoka?
    Ndani ya episode hii nimezungumzia nini kinaufanya ushuhuda wa mteja wako kuwa na mzuri na wenye mashiko!
    Hivi unajua Ushuhuda mzuri unaweza kukusaidia kukuza Biashara Yako na kuvutia Wateja Watarajiwa?
    Sikiliza Episode Kujifunza Zaidi
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 45
    8 min
  • #44: Mambo 5 yanayo kunyima Kuaminika Instagram Kama Mfanyabiashara
    Ndani ya episode hii nimezungumzia mambo 5 yanayo kunyima kuaminika Instagram kama Mfanyabiashara!
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 44
    9 min
  • #43: Jinsi Ya Kusafisha Page Yako Instagram | Njia 6 Muhimu
    Kwenye episode hii Amani Longishu amezungumzia jinsi ya kusafisha page yako ya Instagram kwa kukupa njia 6 muhimu kuzifuata.
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 43
    11 min
  • #42: Ukweli Wa Kuujua ili Ufanye Vizuri Biashara Yako Wiki Hii
    Ndani ya episode hii Amani Longishu amezungumzia Ukweli wote unaohitaji kuujua ili ufanye biashara yako kwa uhakika wiki hii. Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niulize swali kwenye Instagram
    https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 42
    15 min
  • #41: Jinsi Ya Kuwafanya Waweke Unachouza Kwenye Bajeti Zao Weekend hii
    Kama unahitaji wateja wako waweke unachouza kwenye bajeti zao weekend hii!! Sikiliza kwa makini episode hii ya 41
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niufuatilie Instagram ⤵️
    https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu👇🏻
    https://www.mjasiriamalidigital.com
    My Instagram:
    https://www.instagram.com/amanilongishu  
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 41
    Social Media Marketing podcast to grow you business and influence online✨
    8 min
  • #40: Jinsi Ya Kuwafanya Wanunue Ambacho Hawakupanga Kununua Kwako | Njia 5 Muhimu!
    Je umeshawahi kwenda dukani ukaishia kununua kitu ambacho haukupanga kununua? Kwenye episode hii utajifunza njia 5 za kuwafanya wateja wanunue unachouza bila kuwa na mpango huo kwenye Social Media
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Social Media Marketing Podcast in Tanzania
    Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com
    My Instagram profile:
    https://www.instagram.com/amanilongishu  
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 40
    7 min

About Amani Longishu Podcast

From the publisher's feed

Daily episodes of Digital Marketing and Business tips for Tanzanian Business owners and Entrepreneurs!