Amani Longishu Podcast

Amani Longishu Podcast

By Amani LongishuBusinessMarketing
Download on the App Store

Amani Longishu Podcast episodes

  • #39: Aina 5 Ya WATEJA kwenye Comments na DM yako Instagram
    Kwenye episode hii nimezungumzia Aina 5 ya wateja wanaonapatikana kwenye Comments na DM yako Instagram kwa Wewe mfanyabiashara wa kitanzania
    Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
    Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog yangu👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com
    Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: [email protected]
    My Instagram profile:
    https://www.instagram.com/amanilongishu  
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 39
    13 min
  • #38: Njia 4 Za kujua MAUMIVU YA MTEJA Instagram
    Kwenye episode hii nimezungumzia njia za kujua maaumivu ya mteja wako Instagram, Sikiliza na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!!
    Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji
    mzuri wa podcast hii
    Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com
    Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: [email protected]
    Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu
     
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 38
    8 min
  • #37: Mambo 5 ya kufanya kama Biashara inakua Polepole Mtandaoni
    Msikilize Amani Longishu na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!!
    Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji
    mzuri wa podcast hii
    Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com
    Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: [email protected]
    Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu
     
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 37
    14 min
  • #36: Vitu vya kuepuka ukiwa unachagua username ya INSTAGRAM

    Katika episode hii ya 36 nimelezezea mambo ya kuepuka ukiwa unaandika username yako ya instagram, na nini cha kuzingatia.Sikiliza uelimike na Amani Longishu

    Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital

    Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital

    Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com/blog

    Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: [email protected]

    Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu 

    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 36

    12 min
  • #35: Sababu 6 kwanini haupati FOLLOWERS wa maana INSTAGRAM

    Katika episode hii nimezungumzia Sababu 6 kwanini haupati wafuasi wa maana Instagram 

    Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital 

    Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital     

    Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com/sabau-6-kwanini-haupati-wafuasi-wa-maana/ 

    Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: [email protected] 

    Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu 

    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 35

    11 min
  • #34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJA
    Katika episode hii nimezungumzia Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate wateja.
    Ambayo Ni:
    1. Maudhui ya kuelimisha
    2. Maudhui ya kuhamasisha/ kutoa motisha
    3. Maudhui ya kuburudisha
    4. Maudhui ya kujenga uaminifu
    5. Maudhui ya Kujitangaza
    Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital
    Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital    
    Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane:
    Host IG:
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast Episode 34
    12 min
  • #33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanya
    Katika episode hii nimezungumzia mambo 5 ya kufanya ili kutokea na kuonekana kwenye EXPLORE page kwenye mtandao wa Instagram
    Ambayo Ni:
    1. Kujenga mamlaka kwenye kitu unachofanya
    2. Tengeneza maudhui yenye values
    3. Weka hashtags kwenye chapisho lako
    4. Focus na engagement
    5. Tumia Reels
    Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe na kuipa 5 stars ratings na review kwenye Apple Podcasts
    Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital    
    Kutangaza biashara yako  
    Host IG:
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast episode 33
    16 min
  • #33: Makosa 8 yanayo uwa mauzo yako Instagram
    Sio kweli kwamba kuwa na ukurasa unaovutia na kupendeza, ndio tiketi ya wewe kupata mauzo kila wakati. Kuna watu wanauza zaidi yako na kurasa zao sio za kupendeza sana ( Sijamaanisha ni mbaya, ila focus yako yote isiwe kupendezesha ukurasa tuu)
    Katika episode hii nimekupa mambo 8 yanayo uwa mauzo yako Instagram kwa wewe mfanyabiashara au mjasiriamali
    Nimezungumzia:
    1. Bio isiyoeleweka
    2. Kutochapisha maudhui mara kwa mara
    3. Picha, video ma design mbaya
    4. Kutoweka caption kwenye chapisho lako
    5. Kutojionyesha sura yako
    6. Kutoshare mirejesho au shuhuda
    7. Kutoweka bajeti ya kutosha kwenye masoko
    8. Kutojua namna ya kufunga mauzo DM au Whatsapp
    Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe na kuipa 5 stars ratings na review kwenye Apple Podcasts
    Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital    
    Kutangaza biashara yako  
    Host IG:
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast episode 33
    26 min
  • #32: Faida 6 ya kupost kila siku Instagram
    Ukihitaji watu wakujue haraka na kukumbuka, ni vizuri kujua umuhimu wa kuchapisha maudhui kila siku kwenye ukurasa wako wa biashara Instagram
    Katika episode imekupa Faida 6 za kupost kila siku kwenye ukurasa wako wa Instagram
    Sikiliza kisha chukua screenshoot na kupost kwenye instastory kisha unitag.
    Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast    
    Kutangaza biashara yako🔻  
    Host🔻
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast episode 32
    10 min
  • #31: Mambo 5 ya kufanya ukishindwa kupost mara kwa mara instagram
    Ni kawaida kwa wafanyabiashara kupoteza muda mwingi kwenye Instagram pindi wanapokuwa hawana maudhui ya kuchapisha kwenye kurasa zao za kibiashara. Katika episode imekupa mambo 5 ya kufanya ukishindwa kuchapisha mara kwa mara kwenye ukurasa wako.
    Mambo yenyewe ni.
    1. Kupost kwenye story
    2. Post chapisho la miezi 3 iliyopita
    3. Ungana na umuika na kurasa zingine
    4. Kuwa active kwenye DM
    5. Tenga siku ya kutafuta maudhui, kuandaa na kuya schedule in advance
    Sikiliza kisha chukua screenshoot na kupost kwenye instastory kisha unitag.
    Niulize swali hapa🔻
    https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast    
    Kutangaza biashara yako🔻  
    Host🔻
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast episode 31
    11 min

About Amani Longishu Podcast

From the publisher's feed

Daily episodes of Digital Marketing and Business tips for Tanzanian Business owners and Entrepreneurs!