Amani Longishu Podcast

Amani Longishu Podcast

By Amani LongishuBusinessMarketing
Download on the App Store

Amani Longishu Podcast episodes

  • #30: Sababu 5 kwanini hawasomi machapisho yako instagram
    Kila mtu anapenda akichapisha kitu instagram, watu wasome na kujumuika na watu walioacha maoni!! Kwahiyo kama ukiona hakuna anayesoma machapisho yako kuna sababu!!
    Katika episode hii ya 30 nimekupa sababu 5 zinazosababisha wasisome machapisho yako! Sikiliza na share na mwinvine
    Niulize swali hapa🔻
    https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast
    For sponsorship🔻
    Host🔻
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast episode 30
    11 min
  • #29: Njia 6 za kuongeza engagement kwenye instagram
    Ili nisikuchanganye engagement ni no of likes, Comments, shares, saves nk. Sasa ili iwe kubwa na yenye kukupa hamasa ya kuendelea kuandaa maudhui, tumia hizo njia 6 zitakusaidia sana. Tumia link hii kuuliza swali https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: [email protected] https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 29
    29 min
  • #28: Share na fundisha kile unachokijua
    Mambo ya copy na kupaste kwenye mitandao ya kijamii, tupa kule!! Ni muda wa kushare na kusambaza kile unachokijua. Msikilize Amani Longishu kisha muulize swali hapa👇🏿 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: [email protected] https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 28
    10 min
  • #27: Njia 4 za kupata mauzo kwa muendelezo
    Unapoona unapata mauzo usiache kuendeleaa kujitangaza ili mauzo yaendelee kuwa endelevu na yasio yake ya kushuka na kupanda.
    Katika episode hii, Amani Longishu amekupatia njia 4 za kukusaidia wewe kupata mauzo endelevu.
    Sikiliza na share na mfanyabiashara apate kujifunza! Je una swali lolote kuhusu biashara kwenye mitandao ya kijamii? Niulize hapa👇🏿 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Tembelea blog hapa👇🏿
    https://www.mjasiriamalidigital.com/blog
    Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia.
    For sponsorship👇🏻
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast
    Episode 27
    13 min
  • #26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric Baisi
    Leo nimepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Eric Baisi Mtaalamu wa masuala ya kidigitali kutoka Maje Digital, Kampuni inayojihusisha na kusaidia wafanyabishara wenye uwepo mdogo mtandaoni, Kujenga uaminifu kwa wateja wao kupitia maendeleo ya tovuti, graphic designs pamoja na Usimamizi wa kurasa za mitandao wa kijamii.
    Ameshare mengi nami hasa Jinsi anavyoingiza kipato, Ushauri kwa vijana walioko vyuoni na Inachukua muda gani kuanza kupata mteja wako wa kwanza instagram.
    Sikiliza na share na mfanyabiashara anayetoa huduma yoyote ya kidigitali.
    Niulize swali hapa👇🏼
    https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia.
    For sponsorship👇🏻 Email: [email protected]
    Follow Akaunti ya Maje Digital 👇🏼
    https://www.instagram.com/majedigital
    Stalk Eric on IG
    https://www.instagram.com/ericbaisi
    Stalk me on IG
    https://www.instagram.com/amanilongishu
    Mjasiriamali Digital Podcast
    Episode ya 26
    13 min
  • #25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoni
    Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii.
    Katika episode hii ya 25 nimezungumzia njia 5 za kujenga kujiamini kwenye camera ili kujenga biashara mtandaoni.
    Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia.
    For sponsorship👇🏻
    9 min
  • #24: Njia 5 za kujenga uaminifu instagram
    Je unahangaika kujenga uaminifu instagram wewe kama mfanyabiashara kwenye ukurasa wako wa kibiashara? Katika episode hii ya 24 nimezungumzia njia za kujenga uaminifu kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia
    8 min
  • #23: Ufanye nini wakikwambia "nitakutafuta"?
    Kama wewe ni mfanyabiashara hakuna kitu kinauma kama uambiwe nitakutafuta!! Katika episode hii ya 23 nimezungumzia sababu 4 zinazowapelekea wao kufanya hivyo na nini ufanye ili uweze kuwaqualify wanunue. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigitalpodcast Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia.
    9 min
  • #22: Vichwa vya habari 7 vitakavyowafanya waache kuscroll instagram
    Je umekuwa ukichapisha maudhui na hakuna anayejali na kusoma ulichoandika?. Sikiliza episode ya 22 maneno 7 ya kuweka kwenye kichwa cha habari chako. Kumbuka kushare na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
    9 min
  • #21: Fomati 6 ya maudhui ya kuchapisha instagram
    Instagram sio unapost picha tuu!! Kuna fomati Nyingine ya maudhui. Sikiliza episode ya 21 kujifunza fomati zingine za maudhui ya kuchapisha kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
    9 min

About Amani Longishu Podcast

From the publisher's feed

Daily episodes of Digital Marketing and Business tips for Tanzanian Business owners and Entrepreneurs!