Amani Longishu Podcast

Amani Longishu Podcast

By Amani LongishuBusinessMarketing
Download on the App Store

Amani Longishu Podcast episodes

  • #20: Mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza Biashara instagram
    Wengine wameanza biashara naturally yaani maisha yao wamewapelekea kuanza biashara kutokana na vile vitu wanavyopenda kufanya kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye Episode hii ya 20 utajifunza mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza biashara instagram, kama ndo kwanza unafirikia kuanza biashara kwenye mtandao huo wenye mamilioni ya watu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
    12 min
  • #19: Viungo 5 vya Caption tamu kwenye Instagram
    Hivi unajua caption tamu imeundwa na vitu gani? Kwenye Episode hii ya 19 utajifunza Viungo 5 usivyovijua ili kufanya Caption iwe Tamu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
    11 min
  • #18: Sababu 5 kwanini hautatengeneza pesa instagram (Quick tip)
    Kwenye Episode hii ya 18 nimekupa sababu 5 kwanini unashidwa kuingiza pesa kupitia instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts  Ikiongozwa na Amani Longishu.
    7 min
  • #17: Nina followers 50k ila sijawahi kutengeneza pesa, nifanyeje?
    Kwenye Episode hii ya 17 nimekupa njia 4 za kuingiza pesa kama una followers 50k na huna biashara au hujui cha kufanya!! Sikiliza kisha share na influencer unayependa afanikiwe mtandaoni!  Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts  Ikiongozwa na Amani Longishu.
    15 min
  • #16: Njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads
    Je hauna bajeti ya kufanya matangazo ya kulipia? Kwenye Episode hii ya 16 nimezungumzia njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads!!. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake!  Nifollow Instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts  Ikiongozwa na Amani Longishu.
    15 min
  • #15: Uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii umebadilika

    Katika episode hii ya 15 Nimezungumzia jinsi uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii ulivyobadika kwa sasa tofauti na miaka 10 nyuma. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! 

    Nifollow Instagram

    www.instagram.com/mjasiriamalidigital 

    Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook 

    https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts 

    Ikiongozwa na Amani Longishu

    9 min
  • #14: Makosa 5 yanayo chelewesha ukuaji wako instagram
    Je umeweka jitihada ila haukui instagram? Katika episode hii ya 14 Nimezungumzia makosa matano(5) yanayochelewesha ukuaji wako instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu
    12 min
  • #13: Njia 6 za kurudisha passion na hamasa kwenye biashara yako
    Je umepoteza hamasa na pasion ya biashara yako? Katika episode hii ya 13 Nimezungumzia Njia 6 za kurudisha hamasa na passion kwenye biashara yako.
    Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake!
    Nifollow Instagram👇🏿
    www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Unahitaji kuniona mimi?
    Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿
    https://beacons.page/mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts
    Ikiongozwa na Amani Longishu
    17 min
  • #12: Instagram bio ndio business card yako online
    Ivi unajua kwa sasa hivi ukikutana na mtu mkapiga story wakati mnaagana anakuuliza unatumia jina gani instagram? Ungana na Amani Longishu kwenye episode ya 12 Nimezungumzia Mambo 6 muhimu kwenye instagram bio yako
    Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake instagram!!
    Nifollow Instagram👇🏿
    www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Unahitaji kuniona mimi?
    Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿
    https://beacons.page/mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts
    Ikiongozwa na Amani Longishu
    M3N8R8bF1dTCthCnOmEm
    22 min
  • #11: Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara
    Je unafikiria kuanza biashara? Ivi unajua kuna mambo hawajakwambia!! Katika episode hii ya 11 Nimezungumzia Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara
    Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake instagram!!
    Nifollow Instagram👇🏿
    www.instagram.com/mjasiriamalidigital
    Unahitaji kuniona mimi?
    Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿
    https://beacons.page/mjasiriamalidigital
    Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts
    Ikiongozwa na Amani Longishu
    17 min

About Amani Longishu Podcast

From the publisher's feed

Daily episodes of Digital Marketing and Business tips for Tanzanian Business owners and Entrepreneurs!