Haya ni makosa ya kuacha ili uweze kufanikiwa kwenye biashara yako ya Network Marketing, Nitumie ujumbe instagram "mjasiriamalidigital" ili kuanza kozi ya kugeuza followers wako kuwa wateja. Kumbuka kushare na mwingine.
Katika epidose hii ya tisa(9) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, Amani Longishu nimeelezea njia 5 za kutumia au kufuata ili kutawala ( kuwa mwenye power na ushawishi) instagram. Skiza na share na mwenzako. Nifuatilie instagram @mjasiriamalidigital
Katika episode hii kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, ikiongozwa na Amani Longishu. Nimeelezea njia saba(7) ya kupata maoni mengi kwenye chapisho lako instagram. Sikiliza na Share na mwenzako.
Je unafikiria upost video zipi ukuze biashara yako na kuongeza mauzo! Tumia aina hizo zitakusaidiaa sana. Kwama unaswali nitumie ujumbe instagram Mjasiriamali Digital.
Katika Episode hii nimezungumzia kwanini watu hawalike au kuacha comment kwenye machapisho yako kwenye akaunti yako ya kibiashara. Sikiliza na Share na Mwenzako.
Katika Episode hii ya tano(5) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast nimeelezea mambo 6 ya kufanya ili followers wako waendelee kubaki kwenye akaunti yako, Sikiliza na Share na mwenzako.
Katika Episode hii nimekupa sababu 3 kwanini followers au watu hawanunui bidhaa yako huko instagram na ufanye nini ili kupata mabadiliko. Sikiliza, Jifunze na Share na Mwenzako.
Ni muda wa kubadilika sasa leo nimezungumzia mambo 7 ya kuyaacha ili usiendelee kupoteza wateja wako instagram. Sikiliza, Jifunze na share na mwingine.
Katika Episode ya pili ya Mjasiriamali Digital podcast nimeelezea njia sita(6) za kufuata ilia kugeuza instagram yako kuwa sumaku ya biashara yako. Sikiliza Ujifunze.