Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
October 09, 2020Tamka Na Umba Kile UnachokitakaKwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri (Waebrania11:3)....more11minPlay
October 09, 2020Ni Kuhusiana Na Asili Yako Ya KiunguRhapsodi ya Uhakika - Oct 9. “…kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma.” Kwa matokeo ya muunganiko huu, Alisema, “Na yote aliyo nayo Baba ni yangu…” (Yohana 16:15)....more10minPlay
October 08, 2020Sisi tu watu wa Namna Yake - ROR Oct 8, 20202Co 6:16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.pakua rhapsodi app leo kupitia link hii.https://t.co/GFr1tICObJJiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:Rhapsody Influencer Networkhttps://bit.ly/2CnQ28u...more10minPlay
October 08, 2020Dumisha Hamasa yako kwa ajili ya Injili - ROR Oct 7, 2020Rom 12:11 kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana;Kuwa mwenye bidii na hamasa katika kazi ya injili. Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.pakua rhapsodi app leo kupitia link hii.https://t.co/GFr1tICObJJiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:Rhapsody Influencer Networkhttps://bit.ly/2CnQ28u...more10minPlay
October 06, 2020Unakila kitu unachokihitajiROR Oct 6, 2020.Baada ya mambo hayo neno la Bwana likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, MIMI NI NGAO YAKO, NA THAWABU YAKO KUBWA SANA Mwanzo 15:1 > Mungu ni urithi wako, fungu lako, Ngao yako, tambua hili na tembea katika maarifa ya kweli hii.Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.pakua rhapsodi app leo kupitia link hii. https://t.co/GFr1tICObJJiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:Rhapsody Influencer Network https://bit.ly/2CnQ28u...more12minPlay
October 01, 2020Rhapdosi ya Uhakika - Oktoba 2020Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii. http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1 na bofya link hii kupakua app ya rhapsodi leo hii. https://t.co/GFr1tICObJ...more51minPlay
September 01, 2020Rhapdosi ya Uhakika - September 2020Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2000 dunia na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii. http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1...more5h 11minPlay
August 01, 2020Rhapdosi ya Uhakika - August 2020Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2000 dunia na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii. http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1...more7h 13minPlay
July 01, 2020Rhapdosi ya Uhakika - Julai 2020Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2000 dunia na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii. http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1...more7h 7minPlay
June 01, 2020Rhapsodi ya Uhakika - June 2020Kitabu kinachotoka kila mwezi chenye neno la kila siku. Kitabu kimendikwa na Mchungaji Chris Oyahkilome na Kimesomwa na Ndg. Amedeus Deogratius. Utajifunza mengi yapasayo maisha ya ushindi, afya bora, ustawi, upendo, haki, imani na namna bora ya kumwabudu Mungu katika roho na kweli....more6h 16minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.