Kitabu kimeandikwa na Mch. Chris Oyakhilome na Kimefanyiwa mapitio kwa njia ya Sauti na Amedeus D.R.
Kimegawanyika katika sura 8 na kinaanza na Utangulizi unaitwa watu wa Unabii.
Utangulizi - Watu wa Unabiii
Utabiri na Kutamka Kabla ya Jambo kutukia.
Bonde la Mifupa Mikavu
Nyinyi Ndinyi Miungu
Wewe ni Nabii wa Maisha Yako
Ongoza Mkondo wa Maisha yako kwa Kinywa Chako
Nini unapaswa kufanya na Unabii?
Maongezi yako ni Mustakhabali wako
Chukua hatua