Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
August 27, 2019Likubali Pendo LakeNi kuhusiana na Pendo lake na sababu ya Kristo Kuja kuzaliwa hapa duniani. Jifunze kuhusu Pendo la kimiminika la Kristo....more11minPlay
August 22, 2019Kristo Pasaka WetuSikiliza somo hili na upate kujua maana halisi ya neno pasaka na umuhimu wake kwenye maisha yako ya kila siku. Biblia inasema utaijua kweli na kweli itakuweka huru. Sikiliza Kweli hii nayo itakuweka huru.#Mti wa Uzima...more8minPlay
August 22, 2019Alituleta katika UshirikaDhumuni kubwa zaidi lilomfanya Yesu aje duniani ni ili kutuleta katika ushirika na Baba, katika umoja na Mungu. Alikuja ili atulete katika daraja moja na Mungu....more9minPlay
August 21, 2019Amedeus LiveJukwaa sahihi kwa ajili yako wewe na familia yako, ndugu, jamaa na marafiki. Jumuika nasi kila siku kujifunza neno la Mungu, kupitia rhapsodi ya Uhakika matoleo ya rika zote, fanya ukiri wa Imani kila mara na shiriki katika ibada za maombi na maombezi kwa ajili ya familia, miji,na mataifa ya ulimwengu. Hii ni podcast Yako....more1minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.