Katika Makala haya ,tunaangazia jinsi ambavyo baa la njaa limeathiri afya za raia wengi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.Shirika la misaada la OXFAM linasema kuna zaidi ya watu millioni 15 katika mataifa hayo ambao hawana chakula kutokana na ukame na athari za janga la Corona kwenye chumi za taifa.