Katika Kongamano la 74 la mataifa wanachama wa shirika la afya duniani ,ambalo limeratibiwa kufanyika mwezi huu,mojawapo ya agenda kuu ni suala afya ya akili baada ya matatizo mengi ya kiakili kuripotiwa wakati huu wa Corona ,maofisa wa usalama wengi wakiripotiwa kutumia silaha vibaya au kujitoa uhai namna ambavyo imeendelea kuongeza mzigo zaidi kwenye huduma za afya ambazo zimelemewa na makali ya Corona.