Siha Njema

Changamoto za afya ya akili miongoni mwa watoto na vijana Afrika


Listen Later

Kumekuwa na ongezeko la idadi ya watoto na vijana wanaokabiliwa na changamoto za  afya  ya akili

Kila mwezi Mei dunia huungana kufanya kampeni ya watu kuwa makini na afya zao za akili ili kuzuia changamoto zaidi za akili ambazo wakati mwingi huishia kwenye umauti na matatizo zaidi ya kiafya

Watalaam wa afya wanasema watoto na vijana pia nao hupatwa na changamoto hizi zinazohusishwa na afya ya akili ,matatizo hayo yakiwemo kiwewe na msongo wa mawazo.

Daktari bingwa wa afya ya akili katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta kitengo cha watoto ,Dkt Josephine Omondi anasema mazingira yanayochochea hali hii ni mizozo ya kifamilia ,matumizi mabaya ya mitandao ,shinikizo kutoka mazingira ya shule na pia matatizo ya kiafya yanayohusishwa na miaka ya awali ya mtoto

Mshauri Nasaha Naomi Ngugi anasema ni wakati wazazi wakakumbatia ukweli kuwa watoto na vijana huhitaji washauri nasaha na matibabu mengine ya matatizo ya afya ya akili

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

22 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

85 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

3 Listeners

Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

14 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners