Makala haya, yanaangazia changamoto za uzazi, tatizo ambalo limeonekana kuongezeka katika mataifa mengi ya Afrika. WHO inasema kuna wanandoa milioni 48 duniani ambao hawawezi kupata watoto. Watalaam wameonya mazingira, hali ya maisha na mgogoro katika ndoa ni baadhi ya mambo yanayochangia hali hii.