Tatizo la Maumivu wakati wa hedhi (period pains) au kitaalamu dismenorrhea,ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua Wanawake wengi wakati wa hedhi ,
Maumivu haya hujitokeza sehemu ya chini ya tumbo au kiunoni wakati yai likiwa linatoka katika mirija ya ovari katika kizazi cha mwanamke na katika wakati huu uwezo wako wa kushika mimba
Makala ya Siha Njema inagazia Juu ya Chanzo na Tiba ya Tatizo Maumivu wakati wa hedhi