Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Ukweli usiosemwa leo hii. Mawasiliano: +255-754-670264; +255-715670264; +255-768-767222E-mail: [email protected]... more
FAQs about Chris Mwakabanje:How many episodes does Chris Mwakabanje have?The podcast currently has 7 episodes available.
June 09, 2023Njaa na Kiu ya HakiMojawapo ya mahitaji muhimu ya mwili ni chakula na maji. Wagonjwa hupoteza hamu ya kula hata kunywa. Waliokufa hawana haja kabisa ya kula na kunywa. Yesu alitumia shauku hiyo ya njaa na kiu ya mwili katika kuisaka haki ya Mungu kiroho. Je, tunahisi njaa na kiu ya haki kiroho sawa na tuavyohisi njaa na kiu kimwili? La sivyo ama tunaumwa au tumekufa kiroho!...more22minPlay
December 06, 2021Je, Kipo Kipimo cha Roho Zetu?Je, Mungu anataka wanadamu tutumie hisia zetu, dhamiri, akili zetu, ndoto, maono, mapokeo ya wanadamu kama vipimo vya roho zetu? Chunguza kama Mberoya....more1h 15minPlay
October 18, 2021Jina Mkristo Limetoka Wapi?Je, Jina Mkristo Asili Yake ni Wapi? Je, ni jina tulipewa na Mungu au lilibuniwa na watu?...more32minPlay
October 18, 2021Je, kanisa alilolijenga Kristo lipo leo?Kimsingi zipo kanuni tatu katika kujibu swali hili muhimu: (1) kanuni ya mbegu; (2) kanuni ya michoro ya usanifu wa kitu katika kitabu; (3) kanuni ya matengenezo....more1h 7minPlay
August 30, 2021Kweli Ni Nini?Mungu ndiye mwenye kweli, ukweli unajitosheleza, ukweli umesonga, ukweli upo, ukweli ni muhimu na ukweli una maadui daima....more29minPlay
August 30, 2021Ukristo Bila MadhehebuJe, inawezekana leo hii kuwepo kwa Wakrito wasio washiriki wa madhehebu yoyote?Je, Wakristo karne ya kwanza walikuwa washiriki wa madhehebu yoyote?Ungana nami upate majibu ya maswali hayo muhimu!...more17minPlay
FAQs about Chris Mwakabanje:How many episodes does Chris Mwakabanje have?The podcast currently has 7 episodes available.