Chris Mwakabanje

Chris Mwakabanje

By Christopher MwakabanjeReligion & Spirituality
Download on the App Store

Chris Mwakabanje episodes

  • Njaa na Kiu ya Haki
    Mojawapo ya mahitaji muhimu ya mwili ni chakula na maji. Wagonjwa hupoteza hamu ya kula hata kunywa. Waliokufa hawana haja kabisa ya kula na kunywa. Yesu alitumia shauku hiyo ya njaa na kiu ya mwili katika kuisaka haki ya Mungu kiroho. Je, tunahisi njaa na kiu ya haki kiroho sawa na tuavyohisi njaa na kiu kimwili? La sivyo ama tunaumwa au tumekufa kiroho!
    22 min
  • Kweli Ni Nini?
    Mungu ndiye mwenye kweli, ukweli unajitosheleza, ukweli umesonga, ukweli upo, ukweli ni muhimu na ukweli una maadui daima.
    29 min
  • Ukristo Bila Madhehebu
    Je, inawezekana leo hii kuwepo kwa Wakrito wasio washiriki wa madhehebu yoyote?
    Je, Wakristo karne ya kwanza walikuwa washiriki wa madhehebu yoyote?
    Ungana nami upate majibu ya maswali hayo muhimu!
    17 min

About Chris Mwakabanje

From the publisher's feed

Ukweli usiosemwa leo hii.