Dakika 10 Za Kocha

Dakika 10 Za Kocha

By Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.BusinessEntrepreneurshipEducationSelf-ImprovementInvesting
Download on the App Store

Dakika 10 Za Kocha episodes

  • #DZK064; Kwani Ni Nini Hasa Unachotaka Kwenye Maisha Yako?
    Unataka Nini?

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Unapambana sana ili ufanikiwe,
    Lakini je, ni nini hasa unachotaka kwenye maisha yako?

    Umewahi kukaa chini na kutafakari hilo kwa kina?
    Maana kama hujafanya hivyo, yote unayohangaika nayo sasa hayana maana.

    Na usipochukua hatua sasa, utapambana, utapata mafanikio na utayachukia maisha yako.

    Kabla hilo halijatokea, fanya kitu sasa.
    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuambia kitu cha kufanya.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Usiongeze mbio kwenye mwelekeo usio sahihi, badili kwanza mwelekeo.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK063; Kanuni Ya Ushindi Wa Uhakika Kwenye Mchezo Wa Mafanikio
    Kanuni Ya Ushindi Kwenye Mchezo Wa Mafanikio.

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Hivi unajua inakuhitaji nini ili uweze kupata ushindi kwenye mchezo wa mafanilio?

    ✅ Utayari wa kuweka kazi ndiyo tiketi ya kufuzu kushiriki mashindano.
    ✅Unawashinda 50% kwa kuweka kazi kwa juhudi kubwa.
    ✅Unawashinda 40% kwa kuwa na tabia bora.
    ✅Unawashinda 9% kwa kuwa mshindani asiyeyumbishwa.
    ✅ Unaingia kwenye 1% ya juu kwa bahati, ambayo unaweza kuitengeneza.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuelezea kanuni hiyo na jinsi ya kuitumia kupata ushindi wa uhakika.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Ingia kwenye mchezo wa mafanikio kwa dhamira ya ushindi na utashinda.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK062; Acha Kujidanganya, Hutaki Hicho Unachosema Unataka
    Imetosha Kujidanganya.

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Ni mara ngapi umeweka malengo na mipango mikubwa sana,
    Lakini unashindwa kutekeleza kwa sababu mbalimbali.

    Zinaweza kuwa sababu za kweli kabisa zinakuzuia.
    Lakini kama unaweza kukwamishwa kwenye kupata kitu,
    *Je unakuwa unakitaka kitu hicho kweli?*

    Tukiwa wakweli, umekuwa unajidanganya sana.
    Na hilo ndiyo limekuwa linakukwamisha kufanikiwa.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kuacha kujidanganya ili uweze kufanikiwa.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Kama unataka mafanikio, acha kujidanganya kwa malengo na mipango. Anza kufanya.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK061; Hakuna Anayejali, Wewe Shinda Tu (Just Win)
    Hakuna Anayejali, Wewe Shinda Tu (Just Win)

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Huenda ni kweli kwamba ....
    ... huna mtaji,
    ..... huna muda,
    ....... huna connection,
    ......... huna elimu kubwa.

    Lakini unajua nini,
    Usiposhinda, hakuna anayejali yote hayo.

    Hivyo una wajibu mmoja tu, *Kupata Ushindi.*

    Hilo ndiyo nimekuonyesha kwa kina kwenye #BaruaYaKocha.

    Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Ushindi ndiyo dawa pekee ya sababu na visingizio unavyotoa.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK060; Kazi Ngumu Haiwezi Kukuua.
    Kazi Ngumu Haiwezi Kukuua

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Haina ubishi kwamba mafanikio makubwa yanataka mtu uweke kazi kwa juhudi kubwa sana.

    Lakini wengi tumekuwa tunajidanganya kwamba tumechoka na tunahitaji mapumziko.

    Wakati mwingine tunajiambia kufanya kazi sana siyo nzuri kiafya.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha kwa mifano kwa nini kazi ngumu haiwezi kukuua.
    Pia nimekushirikisha jinsi ya kuitumia kazi ngumu kufanya makubwa.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Weka kazi kwa juhudi kubwa, kwa sababu haiwezi kukuua.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK059; Usionee Wivu Mafanikio, Onea Wivu Na Mateso Pia.
    Usionee Wivu Mafanikio.

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Unapoona watu ambao kuna vitu umewazidi, ila wamefanikiwa kuliko wewe, huwa unachukuliaje?

    Huwa ni rahisi kuona mafanikio ni mepesi, hasa pale tunapoona wengine wakiwa nayo.

    Lakini ukweli ni mafanikio halisi ni magumu kuliko yanavyoonekana kwa nje.

    Mafanikio yana mateso makali sana, ambayo mtu lazima ayavuke ndiyo afanikiwe.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kukubali na kuvumilia mateso ili ufanikiwe.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Mafanikio ni rahisi ukiyaangalia kwa nje. Ni mpaka uingie ndiyo unaona mateso mengi yaliyo nyuma ya mafanikio.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK058; Wewe Fanya Tu (Just DO It)
    Acha Maneno, FANYA.

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Watu wengi wanasema jinsi wanavyotaka kufanikiwa.
    Lakini wanaofanikiwa hasa ni wachache mno.

    Na kinachowafanya hao wachache kufanikiwa ni kufanya.

    Washindi wanafanya,
    Wanafanya lolote linalohitajika ili kukamilisha kazi.
    Na wanafanya,
    Na kufanya,
    Na kufanya,
    Mpaka kazi ikamilike.

    Je wewe umejitoa kufanya kiasi gani?
    *Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha hotuba itakayokupa msukumo mkubwa wa kufanya.*
    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Maneno ni rahisi, ila hayaleti matokeo. Kufanya ni kugumu, ila kunaleta matokeo mazuri.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK057; Kwa Jinsi Biashara Ilivyo Ngumu, Usihangaike Na Mambo Yanayozidisha Ugumu Na Kukukwamisha Kufanikiwa.
    Biashara Tayari Ni Ngumu, Usiongeze Ugumu Kwa Kuhangaika na Haya.

    Soma; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Kwa nadharia, biashara ni rahisi,
    1. Jua hitaji ambalo watu wanalo.
    2. Wafikie watu hao na kuwapatia hitaji hilo.
    3. Kusanya pesa.
    4. Rudia
    Lakini kwenye uhalisia, biashara ni ngumu mno.

    Na sehemu ya ugumu huo unasababishwa na watu wenyewe.
    Yaani ni ugumu wa kujitakia.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha mambo unayohangaika nayo na yasiyokuwa na tija, ila yanaongeza ugumu wa biashara.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Jali mambo yako, hayo ndiyo yana tija kwako.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK056; Usipoacha Hizi Dharau, Hutaweza Kujenga Mafanikio Makubwa.
    Acha Hizi Dharau Zinazokukwamisha Kufanikiwa.

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Kama umekuwa unapambana sana kufanikiwa,
    Lakini bado matokeo unayopata siyo ya kuridhisha,
    Unaweza kuvunjika moyo.

    Hiyo ni kwa sababu unakuwa huelewi ni wapi unapokwama.
    Kwani unafanya kila kinachopaswa kufanyika.

    Habari njema ni lipo jibu la wapi unakwama.
    Kinachokukwamisha ni dharau.
    Kuna mambo ya msingi sana ambayo huyaheshimu kwa kiwango cha kutosha.
    Na hilo limekuathiri sana.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha maeneo hayo na heshima unayopaswa kuyapa ili ufanikiwe.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Mafanikio makubwa yanataka uwe na heshima kubwa kwenye mambo ya msingi.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK055; Tumia Changamoto Kuwa Imara Zaidi Kwenye Safari Ya Mafanikio.
    Usife, Bali Kuwa Imara Zaidi.

    Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Rafiki,
    Maisha yetu yote ni mapambano dhidi ya kifo.
    Tunakabiliana na hatari mbalimbali ambazo zinaweza kututoa kwenye njia tuliyopo.

    Tunapokutana na hatari hizi, kuna mambo matatu yanaweza kutokea;
    1. Kudhoofika na kuanguka.
    2. Kustahimili na kubaki tulivyo.
    3. Kuwa imara zaidi.
    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kutumia kila unachokutana nacho kuwa imara zaidi.

    Hiyo ikiwa ndiyo njia ya uhakika kwako kujenga mafanikio makubwa na ya kudumu.

    Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Tumia magumu na changamoto kujiimarisha ili ufanikiwe.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min

About Dakika 10 Za Kocha

From the publisher's feed

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka…