Utajiri Kwenye Biashara Hautokani Na Bidhaa Au Huduma.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kampuni kubwa za usafirishaji, Uber, Bolt n.k, hazimiliki vyombo vya usafiri.
Kampuni kubwa ya malazi, Airbnb, hazimiliki majengo.
Kampuni kubwa za maduka ya mtandaoni, Amazon, Alibaba n.k, hazimiliki mali zote zinazouzwa.
Kampuni hizo, ambazo zina thamani ya mabilioni ya dola, zinamiliki wateja tu.
Wenye bidhaa na huduma ndiyo wanawahudumia wateja hao.
Ila faida kubwa wanapata wao.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi unavyoweza kujenga biashara itakayokupa utajiri mkubwa kwa kutengeneza wateja wa kipekee.
Hao ni wateja waaminifu na ambao wapo tayari kuipambania biashara yako.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Tengeneza wateja waaminifu kwa biashara yako, ambao wanaipambania kweli na ushindi utakuwa wako.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya
MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
- #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
- #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
- #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.