Share Doctor Rafiki Afrika
Share to email
Share to Facebook
Share to X
By Doctor Rafiki
The podcast currently has 27 episodes available.
Hii podcast inazungumzia juu ya kansa za utotoni, ikiwemo uwezekano wa kupona na kuendelea na maisha yenye afya. Utasikia shuhuda kutoka kwa Kelvin Kashaija aliyewahi kuugua kansa akiwa utotoni, akielezea safari yake ya matibabu, changamoto alizokutana nazo, na jinsi alivyoshinda ugonjwa huo.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuna umuhimu gani wa Jamii kuhusishwa kwenye tafiti za Afya. Ungana nami Host wako Dr. Juliet Sebba, MD nikiwa na Mgeni Dr. Rosalia Njau, MD, Msc ambaye yeye ni daktari mtafiti katika sekta ya Afya.
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukizungumzia suala zima la Kujiua. Ungana nami Dr. JulieT Sebba, tukizungumzia kwa kina suala hili.
Karibu kwenye doctor rafiki, wiki hii tukiendelea na mada ya Mpox, tukizungumzia katika upande wa wajawazito, watoto na wagonjwa wa muda mrefu. karibu sana kusikiliza na Kujifunza.
Karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukijifunza kupitia maswali na majibu kuhusu ugonjwa mpya wa Mpox ukiwa daktari wako, Dr. Juliet Sebba, MD.
Habari Rafiki, karibu kwenye episode ya leo ukiwa na Doctor Juliet Sebba, MD. Leo tunaenda kujifunza kuhusu mambo yote muhimu unayopaswa kuyafahamu kuhusu Unyonyeshaji. Karibu kusikiliza.
Unaweza kutupa maoni, ushauri au maswali kupitia: Email: [email protected]
Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki na katika episode hii utajifunza ni kwa namna gani siku 1000 za mwanzo zinavyoweza kubadili maisha ya mtoto. Karibu sana
Karibu kwenye kipindi cha Dr Rafiki na wiki hii tukiendelea na episode nyingine tukizungumzia 'Namna gani unaweza kumsaidia Mama mjamzito mwenye sonona' tukiwa na Mwanasaikolojia tiba, Lizbeth Mhando.
Karibu kwenye kipindi cha Doctor Rafiki, na wiki tukizungumzia kuhusu 'Sonona Kipindi cha Ujauzito na Baada ya Kujifungua'. Ungana nasi tukiwa na mgeni Lizbeth Mhando ambaye yeye ni mwanasaikolojia tiba, pamoja na Host Dr. Juliet Sebba, MD.
Karibu sana kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki na leo tukizungumzia suala zima la 'Lishe na Mtindo wa maisha kipindi cha Ujauzito'. Ungana nasi Dr. Juliet Sebba pamoja na Dr. Tom Jackson (Mtaalamu wa Afya ya kina mama na uzazi)
Kwa maoni, ushauri na maswali; wasiliana nasi kupitia email:
[email protected]
The podcast currently has 27 episodes available.