Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Habari, Kwa majina naitwa Dr. Julieth Sebba, MD. Ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Ungana nami kila wiki, nikikushirikisha maarifa mbalimbali katika kuboresha afya yako, afya ya fam... more
FAQs about Doctor Rafiki Afrika:How many episodes does Doctor Rafiki Afrika have?The podcast currently has 63 episodes available.
August 26, 2024MASWALI NA MAJIBU JUU YA UGONJWA WA MPOXKaribu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukijifunza kupitia maswali na majibu kuhusu ugonjwa mpya wa Mpox ukiwa daktari wako, Dr. Juliet Sebba, MD....more19minPlay
August 23, 2024FAHAMU MAMBO YA MUHIMU KUHUSU UNYONYESHAJIHabari Rafiki, karibu kwenye episode ya leo ukiwa na Doctor Juliet Sebba, MD. Leo tunaenda kujifunza kuhusu mambo yote muhimu unayopaswa kuyafahamu kuhusu Unyonyeshaji. Karibu kusikiliza.Unaweza kutupa maoni, ushauri au maswali kupitia: Email: [email protected]...more14minPlay
August 15, 2024JINSI SIKU 1000 ZA MWANZO ZINAVYOWEZA BADILI MAISHA YA MTOTOHabari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki na katika episode hii utajifunza ni kwa namna gani siku 1000 za mwanzo zinavyoweza kubadili maisha ya mtoto. Karibu sana...more18minPlay
August 08, 2024UNAWEZAJE KUMSAIDIA MAMA MJAMZITO MWENYE SONONA?Karibu kwenye kipindi cha Dr Rafiki na wiki hii tukiendelea na episode nyingine tukizungumzia 'Namna gani unaweza kumsaidia Mama mjamzito mwenye sonona' tukiwa na Mwanasaikolojia tiba, Lizbeth Mhando....more28minPlay
July 31, 2024SONONA KIPINDI CHA UJAUZITO NA BAADA YA KUJIFUNGUAKaribu kwenye kipindi cha Doctor Rafiki, na wiki tukizungumzia kuhusu 'Sonona Kipindi cha Ujauzito na Baada ya Kujifungua'. Ungana nasi tukiwa na mgeni Lizbeth Mhando ambaye yeye ni mwanasaikolojia tiba, pamoja na Host Dr. Juliet Sebba, MD....more21minPlay
July 24, 2024LISHE NA MTINDO WA MAISHA KIPINDI CHA UJAUZITOKaribu sana kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki na leo tukizungumzia suala zima la 'Lishe na Mtindo wa maisha kipindi cha Ujauzito'. Ungana nasi Dr. Juliet Sebba pamoja na Dr. Tom Jackson (Mtaalamu wa Afya ya kina mama na uzazi)Kwa maoni, ushauri na maswali; wasiliana nasi kupitia email:[email protected]...more9minPlay
July 18, 2024MAANDALIZI KABLA YA KUBEBA UJAUZITOKaribu sana kwenye episode ya leo na Doctor Rafiki, Wiki hii tukizungumzia kuhusu MAANDALIZI KABLA YA KUBEBA UJAUZITO; tukiwa na mtaalamu wa masuala ya afya ya kinamama na wajawazito, Dr. Tom Jackson MD, MMED,Msc....more12minPlay
July 10, 2024MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NA AFYA YAKO 02Karibu kwenye Doctor Rafiki, wiki hii tukiendelea kujifunza kuhusu 'Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yanavyoathiri Afya yako' tukiwa Doctor Rafiki (Dr. Juliet Sebba, MD) pamoja na Aloyce Urassa (Public Health Scientist)...more24minPlay
July 03, 2024MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NA AFYA YAKOKaribu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni wetu Aloyce Urassa, tukizungumzia namna gani Mabadiliko ya tabia ya Nchi yanaweza kuathiri Afya yako. ...more23minPlay
June 26, 2024AFYA YA AKILI KWA WANAUME 02Karibu kusikiliza episode ya 02 ya DoctorRafiki, na wiki hii tukiendelea na mada yetu ya 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiangalia sasa changamoto katika kutafuta msaada na nini kifanyike....more14minPlay
FAQs about Doctor Rafiki Afrika:How many episodes does Doctor Rafiki Afrika have?The podcast currently has 63 episodes available.