Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Habari, Kwa majina naitwa Dr. Julieth Sebba, MD. Ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Ungana nami kila wiki, nikikushirikisha maarifa mbalimbali katika kuboresha afya yako, afya ya fam... more
FAQs about Doctor Rafiki Afrika:How many episodes does Doctor Rafiki Afrika have?The podcast currently has 63 episodes available.
June 20, 2024AFYA YA AKILI KWA WANAUMEKaribu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukizungumzia suala zima la 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiwa na Dr. Frank Kiwango....more13minPlay
June 13, 2024MASWALI JUU YA UCHANGIAJI WA DAMU NA MAJIBU YAKEKaribu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, tukiendelea na mada yetu ya 'Uchangiaji wa Damu', Wiki hii Doctor Rafiki anaangazia maswali na majibu kuhusu uchangiaji wa damu. Karibu sana kusikiliza...more18minPlay
June 05, 2024UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUCHANGIA DAMUKaribu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki, tukiangazia juu ya mambo kadhaa ya kufahamu kuhusu 'Uchangiaji wa Damu' kwenye vituo vya Afya au kampeni za uchangiaji damu zinazoandaliwa na mashirika mbalimbali Tanzania....more19minPlay
May 29, 2024LISHE KWA WAGONJWA WA KISUKARIKaribu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki kusikiliza na kujifunza kuhusu lishe kwa wagonjwa wa kisukari. Ungana nami Doctor Juliet Sebba pamoja na Doctor Martha Kungu. Karibu sana...more13minPlay
May 21, 2024LISHE KWA WAGONJWA WA MOYO NA PRESHAFahamu kwa kina kuhusu lishe kwa wagonjwa wa moyo na presha na Dr. Juliet Sebba na Dr. Martha Kungu...more14minPlay
May 15, 2024SONONA NA MSONGO WA MAWAZO MAOFISINIKaribu kusikiliza podcast mpya na Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni, Doctor Martha Kungu kutoka 'Afya Passion Clini' tukizungumzia kuhusu sonona na msongo wa mawazo maofisini au afya ya akili katika maeneo ya kazi....more20minPlay
May 10, 2024SIFA NA TABIA BINAFSI ZINAVYOATHIRI AFYA YAKOKaribu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako. ...more9minPlay
May 01, 2024JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MWILI BAADA YA CHANJOKaribu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja tunaenda kuzungumzia changamoto za mwili zinazoweza kutokea baada ya chanjo na jinsi ya kukabiliana nazo. ...more10minPlay
April 25, 2024FAHAMU UTARATIBU WA CHANJO TANZANIAHabari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu kusikiliza na kujifunza pia Usisite kutuandikia swali na maoni yako kuhusu podcast zetu....more17minPlay
April 17, 2024JE? UNAFAHAMU NINI KUHUSU CHANJOFuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU...more8minPlay
FAQs about Doctor Rafiki Afrika:How many episodes does Doctor Rafiki Afrika have?The podcast currently has 63 episodes available.