Siku ya Afya Duniani tarehe 7 April 2024 ina kauli mbiu ya "Afya yangu, Haki Yangu". Mada ya mwaka huu ilichaguliwa ili kuwa bingwa wa haki kwa kila mtu kila mahali katika kupata huduma bora za afya, maji safi ya kunywa, hewa safi, lishe bora, makazi bora na mazingira bora. Karibu ujumuike nami daktari wako - Doctor Rafiki