Tatizo la Msongo wa Mawazo (stress) au Mfadhaiko kama wengi walivyozoea ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi hivi karibuni,haswa watu wanoishi maeneo ya mijini
Hali hii imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa kuzorotesha afya na kusababisha vifo vya watu wengi vingi
Basi kupitia Makala ya Siha Njema kwa jumaa hili itatupia jicho kuangazia juu ya Tatizo la Msongo wa Mawazo, Dalili Na Tiba Zake